Mikoa ya Mwanza,Geita na Mara ikihusisha Kanda Maalum ya Tarime na Rorya nchini Tanzania imetajwa kuwa inaongoza kwa kuwa na kesi nyingi ...

MWANZA,GEITA NA MARA ZAONGOZA KWA KUWA NA KESI NYINGI ZA MAUJI NCHINI TANZANIA

1:12 AM MADUHU 0 Comments

Mikoa ya Mwanza,Geita na Mara ikihusisha Kanda Maalum ya Tarime na Rorya nchini Tanzania imetajwa kuwa inaongoza kwa kuwa na kesi nyingi za mauji nchini humo kutokana na Takwimu zilizotolewa jana katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria ambapo mikoa hiyo pekee imetatua zaidi ya kesi za mauji 610.

Congess Mramba alihushuhudia maadhimisho ya Siku ya Sheria jijini Mwanza,Sikiliza taarifa yake

0 comments: