Hii ni miongoni mwa Video Mpya ya Tamasha la Kutimiza miaka 20 ya Kwaya  ya Ambassadors of Christ ya Rwanda ambalo lilifanyika Desemba Mwak...

VIDEO YA AMBASSADORS OF CHRIST YA RWANDA ILIYOFANYWA NA JCB STUDIOZ TOKA TANZANIA

7:54 AM MADUHU 1 Comments


Hii ni miongoni mwa Video Mpya ya Tamasha la Kutimiza miaka 20 ya Kwaya  ya Ambassadors of Christ ya Rwanda ambalo lilifanyika Desemba Mwaka 2016 mjini Kigali Rwanda.

Video hii ilichukuliwa Live na Studio za JCB za jijini Dar es salaam chini ya Mtayarishaji na Mwongozaji Moses Romeo ambaye ameingia mkataba na studio hizo zilizopo Tegeta,Dar es salaam,Tanzania.

1 comments:

kutoka kimara dsm tunabarikiwa mno na huduma yenu njema,Mungu awabariki mno