Wimbo Mpya wa Ambassadors of Christ wa Rwanda ulioimbwa live kwenye Tamasha la Miaka 20 ya kwaya hiyo lililofanyika Desemba 2016. Video y...

VIDEO MPYA YA AMBASSADORS OF CHRIST YA RWANDA ILIYOTENGENEZWA NA JCB STUDIOZ YA TANZANIA

12:26 AM MADUHU 1 Comments


Wimbo Mpya wa Ambassadors of Christ wa Rwanda ulioimbwa live kwenye Tamasha la Miaka 20 ya kwaya hiyo lililofanyika Desemba 2016.

Video ya wimbo huo walioimba kwa Kilingala imetengenezwa na JCB Studioz ya jijini Dar es salaam Tanzania chini ya Mtayarishaji Moses Romeo.

1 comments:

Jaliwa Kope said...

Mungu awabariki waimabji hawa, Wasiache kuimba na waendelee kuwa pamoja