Baadhi ya Picha za Waimbaji wa Family Singers toka Buguruni jijini Dar es salaam wakiwa wanarekodiwa video yao mpya ambayo inata...

PICHA:FAMILY SINGERS KATIKA KUREKODI VIDEO YAO MPYA

11:01 PM MADUHU 0 Comments

Baadhi ya Picha za Waimbaji wa Family Singers toka Buguruni jijini Dar es salaam wakiwa wanarekodiwa video yao mpya ambayo inatarajiwa kutoka mapema mwaka huu.Video hiyo inarekodiwa na Kampuni mpya M-Production
Kundi hilo lina matoleo matatu ya audio na toleo moja la Santuri Mwonekano.
 

0 comments: