Kwaya ya Nazareti (pichani) ya jijini Dar es salaam,iko Nansio Ukerewe ikihudumu kwenye makambi ya Mtaa wa Nansio,ikiwa ni mara yao ya k...

NANSIO:TAARIFA YA UIMBAJI KATIKA MAKAMBI YA NANSIO UKEREWE AMBAKO KWAYA YA NAZARETI TOKA DAR ES SALAAM INAHUDUMU

10:37 AM MADUHU 0 CommentsKwaya ya Nazareti (pichani) ya jijini Dar es salaam,iko Nansio Ukerewe ikihudumu kwenye makambi ya Mtaa wa Nansio,ikiwa ni mara yao ya kwanza kuwepo katika kisiwa hicho.

Sikiliza taarifa kuhusu uimbaji unavyoendelea kwenye makambi hayo ambayo yanafanyika kwenye eneo lililoko kando kando mwa Ziwa Victoria.0 comments: