Jana ilikuwa ni siku ya  kihistoria kwa waimbaji wawili wa Kwaya ya Waadventista ya Ubungo Hill jijini Dar es salaam, Eliezer na Dorah kwa...

DAR ES SALAAM:WAIMBAJI WA KWAYA YA UBUNGO HILL WAFUNGA NDOA

2:15 AM MADUHU 1 Comments

Jana ilikuwa ni siku ya  kihistoria kwa waimbaji wawili wa Kwaya ya Waadventista ya Ubungo Hill jijini Dar es salaam, Eliezer na Dorah kwa kufunga pingu za maisha kwenye  ibada ilifanyika katika kanisa hilo.Huku hafla ya kuwapongeza ikifanyika katika Ukumbi wa Law School, Mawasiliano jijini Dar Es Salaam.
 

1 comments:

Anonymous said...

hongereni waimbaji wenzangu