Mwimbaji wa Nyimbo za Injili nchini Tanzania Angel Magoti (Picha ya Kwanza) hivi karibu alipata nafasi ya kuimba kwenye maadhimisho ya ...

DAR ES SALAAM:ANGEL MAGOTI ALIVYOIMBA KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA NDOA YA RAIS MSTAAFU WA TANZANIA BENJAMINI MKAPA

5:45 AM MADUHU 1 Comments


Mwimbaji wa Nyimbo za Injili nchini Tanzania Angel Magoti (Picha ya Kwanza) hivi karibu alipata nafasi ya kuimba kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya ndoa ya Rais Mstaafu wa Tanzania wa awamu ya tatu  Benjamin Mkapa ambayo pia ilihudhuriwa na marais wastaafu,Mawaziri Wakuu Wastaafu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli

Katika tukio hilo Angel Magoti aliimba nyimbo sita.

1 comments:

Bwana na aendelee kumtumia kwa kila taifa na kabila.