Waimbaji wa The Healing Voice toka jijini Dar es salaam katika picha baada ya kutoa huduma ya uimbaji kwenye Makambi ya Mikocheni yaliyoma...

PICHA:THE HEALING VOICE TOKA MIKOCHENI

10:58 AM MADUHU 0 Comments

Waimbaji wa The Healing Voice toka jijini Dar es salaam katika picha baada ya kutoa huduma ya uimbaji kwenye Makambi ya Mikocheni yaliyomalizika hii leo ambayo yalikuwa yakifanyika kwenye Kanisa la Waadventista Wa Sabato Mikocheni

Baadhi ya Waimbaji wa Kike wa The Healing Voice wakiwa na Mwimbaji wa Kujitegea na Mtangazaji wa Sibuka FM,Wilson

0 comments: