Photo Credits: WikiProject African Diaspora Katika kipindi cha JUKWAA LANGU wiki hii, tumejadili kuhusu DIASPORA. Ni ipi nafasi, w...

JUKWAA LANGU JUNI 6,2016:HAKI,WAJIBU NA NAFASI YA DIASPORA KWA TANZANIA

1:41 PM MADUHU 0 Comments


Photo Credits: WikiProject African Diaspora
Katika kipindi cha JUKWAA LANGU wiki hii, tumejadili kuhusu DIASPORA.
Ni ipi nafasi, wajibu na haki yetu katika nchi yetu (Tanzania)?
Ni kweli kuwa tuna watu ama mahala muafaka kutuwakilisha nchini kwetu?
Na je! Tuna vyanzo halisi vya habari na taarifa kutoka Tanzania?
Tumeumgama ma waTanzania wa Uingereza na Marekani kujadili hili

0 comments: