Viongozi waliochaguliwa kuongoza Unioni Konferensi ya Kaskazini mwa Tanzania ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato Mwenyekiti-...

PICHA BAADA YA KUTANGAZWA KWA VIONGOZI WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO UNION KONFERENSI YA KASKAZINI MWA TANZANIA

10:28 AM MADUHU 0 Comments 

 
 

Viongozi waliochaguliwa kuongoza Unioni Konferensi ya Kaskazini mwa Tanzania ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato
Mwenyekiti- Dr Godwin Lekundayo,
Katibu- Mch Daudi Makoye 
Mhazini-Dickson Matiko 

Wakurugenzi wa Idara
Huduma za Wachungaji Kaya na Familia - Enock Sando
Shule Sabato,Washiriki na Uinjilisti- George Ojwang
Wanawake, Watoto na SS - Mariam Samo
Mawasiliano - Gideon Msambwa
Uchapishaji - Davis Fue
Vijana - Elias Kasika
Elimu - Dr Mashauri Mjema
Uwakili - Jeremia Izungo
Afya - Silas Kabhele

0 comments: