Waliochaguliwa kuongoza Konferensi ya Mara kwa kipindi cha miaka mitano ijayo katika uchaguzi ulifanyika leo. MAAFISA: 1. Mweny...

MARA:MATOKEO YA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA KONFERENSI YA MARA YA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO HAYA HAPA

1:28 PM MADUHU 0 CommentsWaliochaguliwa kuongoza Konferensi ya Mara kwa kipindi cha miaka mitano ijayo katika uchaguzi ulifanyika leo.

MAAFISA:
1. Mwenyekiti :George Ojwang
2. Katibu: Enock Sando
3. Mhazini: Eliamini Kisimbo 

WAKURUGENZI:

1. Katibu wa Wachungaji: Daniel Muhono
2. Shule Sabato na Huduma Binafsi:Wina Malagila
3. Vijana: Mukama Nyamajeje
4. Uwakili: Philipo Ndikumwami
5. Mawasiliano: Joseph Matondo
6. Wanawake na Watoto: Rosemary Biseko
7: Uchapishaji: Benjamin Daudi
8. Chaplensia: Shukrani Mutaki
9. Elimu: Dunford Oyuke
10. Afya: Dr. Mussa Mbuga

0 comments: