Maofisa watatu wapya wa Konferensi ya Kaskazini Mashariki wa Tanzania ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato kutoka kulia ni Katibu-Mch Mus...

HAWA NDIO MAOFISA WATATU WA KONFERENSI YA KASKAZINI MASHARIKI MWA TANZANIA YA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO

10:28 AM MADUHU 0 Comments

 

Maofisa watatu wapya wa Konferensi ya Kaskazini Mashariki wa Tanzania ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato kutoka kulia ni Katibu-Mch Mussa Nzumbi,Mwenyekiti Mch Elias Ijiko na Mhazini Ndugu Emanueli Tuarira
Kushoto ni Ndugu  Emmanuel Tuarira - Mhazini NETC akiwa na Ndugu Dickson Matiko - Mhazini NTUC

0 comments: