Mwananchi aliyevalia nguo za Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiondolewa na askari polisi baada ya kujipenyeza kwenye uzinduzi wa kampen...

DAR ES SALAAM:ULIVYOKUWA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI 2015 WA CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA (CHAUMMA), VIWANJA VYA BAKHRESA MANZESE DAR ES SALAAM SEPT 3,2015

2:31 PM MADUHU 0 Comments Mwananchi aliyevalia nguo za Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiondolewa na askari polisi baada ya kujipenyeza kwenye uzinduzi wa kampeni za Chama cha Ukombozi Umma (Chaumma), uliofanyika viwanja vya Bakhresa Manzese Dar es Salaam Septemba 3,2015
 Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma(Chaumma), Dk. Hashim Rungwe, akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho, uliofanyika viwanja vya Bakhresa Manzese Dar es Salaam
 Mzee wa chama hicho, Mbwana Hassan Mbwana akihutubia kwenye uzinduzi huo.
 Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Robinson Fulgence Lembo, akihutubia kwenye uzinduzi huo.
 Mgombea urais wa Zanzibar,  Mohamed Masoud Rashid, akihutubia.
 Wananchi wakishangilia.


 Mgombea Mwenza wa urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma(Chaumma), Issa Abbas Hussein, akihutubia wakati wa uzinduzi huo.

Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye uzinduzi wa kampeni za Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), uliofanyika viwanja vya Bakhresa Manzese Dar es Salaam Septemba 3,2015. 
Chanzo:www.habari za jamii.com

0 comments: