Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wa...

DAR ES SALAAM: MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI TANZANIA ASEMA TANZANIA PEOPLES PART (TPP) KILIFUTWA

1:54 PM MADUHU 0 CommentsMkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, Monica Laurent (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akimkaribisha msemaji wa mkutano huo kuzungumza na waandishi.
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, kuhusu vyama vya siasa vyenye usajili wa kudumu ambavyo vinastahili kushiriki uchaguzi mkuu. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu, Emmanuel Kayuni. 
Mkutano na wanahabari ukiendelea.


Wanahabari wakichukua taarifa hiyo kwenye mkutano huo.
0 comments: