Monday, May 11, 2009

NYUMBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE

Nyumba alipozaliwa na kukulia Rais Jakaya Mrisho Kikwete(ya kwanza kushoto)Hii ndiyo nyumba ambapo Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alizaliwa na kukulia, katika nyumba hii iliyopo katika kijiji cha Msoga,Bagamoyo kilomita 10 toka Chalinze-Tanzania .
Mei 29,2008 mbio za Mwenge wa Uhuru zilizinduliwa na Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda mahali hapa na serikali ikajenga mnara wa kumbukumbu katika eneo hilo

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hodi mwenyewe nimekuja kukusalimia nimekupata kwa dada Koero. Karibu Kibarazani kwangu

Maduhu said...

Asante sana huwa nakutembelea sana inaonekana huwa sibishi hodi ha ha ha

WANAOIFUATILIA

ZILIZOPITA

 

MTANGAZAJI. Copyright 2011 All Rights Reserved This Blog presented by ReedzSolution